Kesi ya madai iliyofunguliwa mwezi uliopita na mganga wa jadi dhidi ya AT ambaye ni msanii wa muziki wa kizazi kipya, leo ndo ilikua tarehe yake katika mahamaka ya mwanzo Buguruni…
Asubuhi AT alifika mahakamani mapema na ilipofika zamu yake akaitwa na na kusomewa shitaka na AT alikanusha…
Kesi imeahirishwa mpaka tarehe 04 April 2014, ambapo mdai ambaye ni mganga Dr sherif ametakiwa kwenda na vielelezo vyote kuthibitisha madai hayo,
0 comments:
Post a Comment