• Chelsea wameruhusu
wavu wao kuguswa katika mechi moja tu kati ya tano walizocheza Stamford Bridge
dhidi ya timu kutoka Ufaransa lakini PSG wamefunga mabao 14 katika mechi nne za
ugenini msimu huu katika mashindano haya na wameshinda mechi zao 6 za mwisho
kati ya 11 za UEFA Champions League, wamepoteza mechi 2 tu.
• The Blues
wameshinda mechi 7 kati ya 12 za mashindano ya UEFA ambapo mchezo wa kwanza
wanakuwa wamefungwa. Waliwatoa SSC Napoli kwa 4-1 baada ya muda wa ziada katika
2011/12 UEFA Champions League raundi ya 16 – walifungwa 3-1 ugenini -
walishinda mechi hiyo na kwenda mpaka kutwaa ubingwa.
Borussia
Dortmund (0) v Real Madrid CF (3)
• Ushindi wa Madrid wa 3-0 katika uwanja wa Santiago Bernabéu unamaanisha kwamba wanaweza kuruhusu kufungwa tena 4-1 kama msimu uliopita katika nusu fainali na bado watapita.
• Ushindi wa Madrid wa 3-0 katika uwanja wa Santiago Bernabéu unamaanisha kwamba wanaweza kuruhusu kufungwa tena 4-1 kama msimu uliopita katika nusu fainali na bado watapita.
• Madrid wamefunga
katika mechi zote za ugenini (22) katika UEFA Champions League tangu
walipofungwa 1-0 na Olympique Lyonnais katika hatua ya 16 bora ya msimu wa
2009/10, walitolewa 2-1 on aggregate. Madrid wamefungwa mara nne - mara 3 kati
hizo nchini Ujerumani - katika mechi zao 22 za mwisho walizocheza ugenini kwenye
mashindano haya
src
shaffihdauda
0 comments:
Post a Comment