Chelsea,Madrid zatangulia nusu fainali UEFA Ushindi wa magoli mawili umeiwezesha Chelsea kuingia nusu fainali kwa faida ya goli la ugenini Licha ya ushindi wa BVB wa magoli mawili na kiwango kizuri walichoonesha huku Mdrid ikicheza bila CR7 wametolewa kwa agregate ya 3-2
0 comments:
Post a Comment