Daraja la Mbagala-Kongowe likiwa limekatika kutokana na mvua kubwa zinazonyesha.


Abiria pamoja na magari katika eneo hilo la daraja.

Wananchi wakishuhudia mafuriko eneo la daraja lililokatika.
DARAJA la Mbagala-Kongowe nalo limekatika na kufanya safari zote za kusini kusimama kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779)
0 comments:
Post a Comment