JAY-Z APIGWA NA SHEMEJI YAKE, LOL! Solange ambaye ni dada wa Beyonce anayedaiwa kumvamia shemeji yake, Jay-Z. Beyonce (shoto) na Jay-Z wakionekana wakishuka kutoka kwenye lift baada ya kutokea timbwili na shemeji yake, hapa ni dhahiri kabisa Jay Z alikuwa ame mind kitendo, LoL!
0 comments:
Post a Comment