
Kwenye list ya mwaka huu mwimbaji Linah nae yumo ambapo baada ya kujituma kwa bidii kama kijana wa Kitanzania, kampuni ya NFZ anayofanya nayo kazi imemzawadia gari hili aina ya Toyota Mark X.
Hii inaonekana kama baraka za kusaidia Wazazi manake miezi kadhaa iliyopita Linah aliwazawadia Wazazi wake nyumba ambayo aliijenga kwa ajili yake lakini baadae akabadili maamuzi na kuwazawadia wazazi.




0 comments:
Post a Comment