crtv
Umri wake anaonekana bado mdogo lakini amejaribu kufanya kitu ambacho ukikitazama unaweza kujua nini alichokusudia kufanya,sijajua ni kutoka nchi gani huyu dogo nimekutana nayo facebook nikaona nikuonyeshe na wewe mtu wangu.
Asilimia kubwa hapo inaonekana katumia mabomba ya sindano ambayo kwake ndiyo kama yanaendeshea hiki kijiko.
dogoo
Bonyeza play ucheki hii video alichokifanya huyu dogo. src Ayotz

0 comments:

Post a Comment

 
Top