Kwenye rekodi za account hii ya hulkshare, inaonekana wimbo wake wa mwisho kuutoa ilikua July 2013..na ni single ya ‘huyu dem’ aliyoifanya na Mr. Blue ambayo mpaka leo imepata plays zaidi ya elfu 36 na downloads zaidi ya elfu 11. steve 1

0 comments:

Post a Comment

 
Top