Mbunge wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa Godfrey Mgimwa akitumia usafiri wa Baiskeli kuwafikia wapiga kura wake katika kijiji cha Kivalali kata ya Ifunda baada ya gari lake kupata pacha wakati wa ziara hiyo hivyo kulazimika kutafuta baiskeli ili kufika haraka mkutanoni kusikiliza kero za wananchi wake.(picha na Francis Godwin Blog) (P.T
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment