Kwanini ni mgoni tu yupo uchi?Mwanamke kavaa nguo za heshima?
 
Haki ya faragha
na usalama wa
mtu
Sheria ya 1984
Na.15 ib.6
 
 
 
 
16.-(1) Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi 
kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake na

unyumba wake, na pia heshima na hifadhi ya maskani yake na

mawasiliano yake ya binafsi.

(2) Kwa madhumuni ya kuhifadhi haki ya mtu kwa mujibu wa

ibara hii, Mamlaka ya Nchi itaweka utaratibu wa sheria kuhusu

hali, namna na kiasi ambacho haki ya mtu ya faragha na ya

usalama na nafsi yake, mali yake na maskani yake, yaweza

kuingiliwa bila ya kuathiri ibara hii

0 comments:

Post a Comment

 
Top