IMG-20140619-WA0001 Baada ya kutoka taarifa kadhaa za video ambayo ndani yake pia yupo Jokate,leo Chege na Temba wameamua kuuachia rasmi wimbo wao walioupa jina la Wauwe.zitumie hizi dakika 3 kusikiliza na kutoa maoni yako hapo chini ili baadae wakipita wasome ulichokisema kuhusu wimbo huu mpya ambao kashirikishwa Malomboso kutoka Yamoto Band

0 comments:

Post a Comment

 
Top