Screen Shot 2014-04-12 at 4.07.15 PM


Ni kitambo toka Ray C kuonekana kwenye muziki mpya baada ya ukimya wa muda mrefu uliotokana pia na utumiaji wa dawa za kulevya ambao anakiri ulimrudisha sana nyumba kimaisha. Legendary Music-Tanzania wanasema ‘mwanadada Ray C akiwa ndani ya Legendary Music Studio akirekodi moja kati ya nyimbo zake Mpya. It was a good experience working with such a Big Tanzanian and East African Female Artist. Stay tuned for more good music from Legendary Music-Tanzania’


src
Millard AYO

0 comments:

Post a Comment

 
Top