Kipya kilichojitokeza kwenye ndoa hii ya Amini,kisikilize hapa Ni saa zisizozidi 48 tangu ndoa ya Amini na Namcy ifungwe ambapo kuna kitu kimeonekana kuwa tofauti na ndoa zingine hasa upande wa jina wakati wa kuandikisha ndoa hii,Soudy Brown ameongea na ustaadh aliyefungisha ndoa hiyo src Ayotz
0 comments:
Post a Comment