Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na
Ujumbe wake wakiongozana na Balozi wa Tanzania Nchini India John
W.H.Kijazi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Indra Gandhi,Rais atakua nchini India kwa ziara rasmi ya siku tisa.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na
akizungumza na Balozi wa India nchini Tanzania Debnath Shaw katika
ukumbi wa VIP wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Indra Gandhi Nchini
India Rais akiwa huko atatembelea sehemu mbali mbali ikiwa ni katika
kukuza Uhusiano na mashirikiano ya kiuchumi na Kijamii.


0 comments:
Post a Comment