shilole

Msanii Shilole

STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena MohamedShilole amefunguka kuwa huwa anawashangaa wasichana wasiopenda kujisitiri kwa kuvaa nguo za ndani ‘makufuli’.

Akistorisha na paparazi wetu, Shilole alisema katika maisha yake anapenda sana kujisitiri kwa kuvaa chupi
hivyo anawashangaa wasanii wanaotembea bila kuvaa nguo hiyo huku wengine wakidai wakizivaa wanahisi kuwashwa kwa joto.
shilole
Shilole Akiwa Katika Pozi
“Napenda sana kuvaa ‘kufuli’ na huwa ninapata shida sana kutokana na wasichana tena mastaa ambao hawavai eti wana aleji nazo, unajua mwanamke lazima ujisitiri, siwezi kutoka nyumbani bila kuvaa  nguo ya ndani
,” alisema

0 comments:

Post a Comment

 
Top