Ukiitazama ratiba ya EPL bado mbio za ubingwa ni mbichi ratiba inaonekana ni ngumgu kwa timu
zote zilizopo top four mpaka sasa
.Tukiaanza na Arserna ratiba yake ngumu . Ubingwa kwake kwa mtzamo wangu
utaamuliwa ndani ya mwezi march huu kabla haujaisha kwani kama atapata matokeo
mazuri kwa chelsea,spurs na Manchester city atatengeneza mazingira mazuri ya
kuelekea ubingwa kwani katika msimu huu arsenal hasumbuliwi sana na timu ndogo

8 Mar, 12:45
|
FA Cup
|
|
11 Mar, 19:45
|
||
16 Mar, 16:00
|
||
22 Mar, 12:45
|
||
25 Mar, 19:45
|
||
29 Mar, 17:30
|
April |
||||
6 Apr, 13:30
|
||||
13 Apr, 12:00
|
||||
19 Apr, 17:30
|
||||
28 Apr, 20:00
|
May |
||||
3 May, 15:00
|
||||
11 May, 15:00
|
Chelsea hana ratiba ngumu sana japo amekuwa akisumbliwa na timu
ndogo,japo head to head ya mancity na arsenal
Liverpool na mancity na ile ya man city na man United kama mancity
atapata matokeo mabaya na Chelsea akapata matokeo mazuri dhidi ya arsernal na spurs itampa nafasi ya kutwaa ubingwa uzuri
anacheza na liverpool mwishoni akiwa anajua mwelekeo wake kuelekea ubingwa,japo
njia pekee ya chelsea kutwaa ubingwa itategemea sana matokeo mazuri na timu ndogo.

8 Mar, 17:30
|
||
15 Mar, 17:30
|
||
18 Mar, 19:45
|
||
22 Mar, 12:45
|
||
29 Mar, 15:00
|
April
|
||||
5 Apr, 17:30
|
||||
13 Apr, 16:10
|
||||
20 Apr, 14:05
|
||||
27 Apr, 14:05
|
May
|
||||
3 May, 15:00
|
||||
11 May, 15:00
|
Mancity japo ana ratiba ngumu lakini mimi binafsi nampa
nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa amekuwa na matokeo mazuri sana dhidi ya timu
kubwa msimu huu akiwa amezifunga timu kubwa zote isipokuwa chelsea katika mechi
za ligi.Kama atapata matokeo mazuri dhidi ya Arsenal ,Man U na Liverpool
atakuwa hana kipingamizi kuchukua ubingwa isitoshe ana magoli mengi ya kufunga
pia ana vipolo viwilli.

9 Mar, 16:05
|
FA Cup
|
|
12 Mar, 19:45
|
||
15 Mar, 12:45
|
||
22 Mar, 15:00
|
||
25 Mar, 19:45
|
||
29 Mar, 17:30
|
April
|
||||
5 Apr, 12:45
|
||||
13 Apr, 14:05
|
||||
21 Apr, 20:00
|
||||
27 Apr, 16:10
|
May |
||||
3 May, 15:00
|
||||
11 May, 15:00
|
Liverpool ambaye msimu huu amekuwa na matokeo mazuri akiwa
na foward yenye ushirikiano mzuri pia naye ana ratiba ngumu pia,lakini naye
amekuwa akisumbuliwa na timu ndogo anaweza akatoa changamoto kubwa kuelekea
ubingwa japo simpi nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa lakini ni msimu ambao nampa
nafasi ya kurudi top four,najua hata kocha rodgers mawazo yake ni kuingia top
four ubingwa kwao ni kama ziada tu japo anaweza kupata changamoto kutoka kwa
spurs lakini ratiba kungu kwa spurs
ambaye anakutana na Chelsea,Arsenal liverpool yenyeweinampa nafasi
Liverpool nafasi liverpool.Man United
wana nafasi lakini matokeo mabovu msimu huu yamewafanya wasiogopwe na timu
yoyote hivyo hata timu ndogo zinnyiamini kuwa zikicheza na Man United kuna uwezekano
wa kupata matokeo mazuri

16 Mar, 13:30
|
||
22 Mar, 15:00
|
||
26 Mar, 20:00
|
||
30 Mar, 16:00
|
April
|
||||
6 Apr, 16:00
|
||||
13 Apr, 14:05
|
||||
20 Apr, 12:00
|
||||
27 Apr, 14:05
|
May
|
||||
3 May, 15:00
|
||||
11 May, 15:00
|
By
mwelange@gmail.com
Facebook.SOLI BLOG
solli1.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment