Warembo wanaowania shindano la kumsaka Miss Uni-College Temeke watachuana katika fainali zitakazofanyika Jumamosi ya Mei 17 mwaka huu katika Ukumbi wa Kisasa wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. Mshindi wa shindano hilo atajizolea zawadi kibao ikiwemo fedha taslimu shilingi 300,000/= na shopping ya nguvu yenye thamani ya shilingi 250,000/= kutoka duka la Robby One
src
GPL
0 comments:
Post a Comment