Screen Shot 2014-09-01 at 2.22.12 AM
 Wakati huu joto la Serengeti Fiesta 2014 likipita kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania Shinyanga, Musoma na Geita wakihusika weekend hii, ikiwa ni music tour inayoubeba msimu wa dhahabuna kushuhudia vijana wa Kitanzania wakifanya yao on stage, tumepewa nafasi ya kuona live za ‘we dem boyz’ za Wiz Khalifa.
Ni mmoja wa marapper wanaopendwa sana na vijana duniani sasa hivi ambapo anaonyesha ni jinsi gani wimbo wowote unaweza kupigwa live na ukavutia, ameweka thamani kwenye show zake kwa kufanya kila live src Ayotz

0 comments:

Post a Comment

 
Top