video:Hongera tembo wa Ivory coast Baada ya timu ya kiafrika kuanza kwa kipigo toka kwa Mexico Ivory Coast wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Japan licha ya kuwa nyuma kwa goli moja lililofungwa kipindi cha kwanza
0 comments:
Post a Comment