Umesikia alichokisema Mke wa Dansa wa Diamond kuhusu anti Ezekiel?kipo hapa Wiki iliyopita alisikika Anti Ezekiel akielezea uhusiano wake na Moses Iyobo ambaye ni dansa wa Diamond Platnumz,sasa leo amesikika mpenzi wake ambaye ndiye anaishi nae ambaye kaongea na Soud Brown kuhusu hili jambo
0 comments:
Post a Comment