Mashambulizi ya Israel na Hamas katika ukanda wa Gaza
Wapiganaji wa Palestina Hamas wamesema kuwa hawana habari kuhusu mwanajeshi wa Israel ambaye anadaiwa kutekwa
nyara katika eneo la Gaza.
Hamas imesema kuwa mwanajeshi huyo Hadar Goldin hueda aliuawa katika mapigano katika eneo la Gaza.
Wapalestina wanasema kuwa zaidi ya watu tisaini wamueuawa katika mashambulizi ya Israel kufuatia kukiukwa kwa makubaliano ya kusitisha vita hapo jana yaliotarajiwa kutekelezwa kwa siku tatu.
Rais Obama amesema kuwa atafanya kila awezalo kuhakikisha makubaliano mapya yanafanyika.
Amesema inahuzunisha kuona vile raia wanavyopoteza maisha yao katika eneo la Gaza,lakini akaongezea kuwa Hamas lazima ionyeshe kwamba inataka kusitsha vita.
CREDIT SOURCE: BBC

0 comments:
Post a Comment