Kazi_Marekani_cb5e9.jpg
Wafanyakazi wanaotafuta ajira wakishiriki maonyesho ya ajira
Serikali ya Marekani imetengeneza nafasi 209,000 za ajira kwa mwezi Julai pekee huku ongezeko la wasio na ajira likiongezeka kwa kasi ndogo ya asilimia 6.2

ikilinganishwa na kipindi ilichopita.
Nyingi kati ya aira hizo zilikuwa katika huduma za biashara na viwanda.
Jumatano iliyopita, Idara ya Biashara ilisema uchumi wa Marekani umekua tofauti na ilivyotegemewa kulinganisha na kipindi cha Aprili-Juni mwaka huu ambapo ongezeko lilikuwa la asilimia 4.
ISOME ZAIDI HAPA: US economy adds 209,000 jobs in July

0 comments:

Post a Comment

 
Top