
Unaweza kushangaa labda imekuaje Diamond Platnumz kuamua kuchana kwenye hii singo ambayo ni project ya Producer Zachaa wa Mj Records,kama wamepishana hivi kwani kwenye singo hii Godzilla nae kama kaimba.
Uwezo uliofanywa kwenye singo hii ni wa tofauti na uliowazoea kutoka kwa Godzilla na Diamond,nakukaribisha kwenye dakika hizi 3 usikie walichokifanya kwenye huu mdundo wa Zachaa
0 comments:
Post a Comment