Unaweza kutumia dakika 4 kuangalia video mpya kutoka kwa TID ft Pro Jay Ni wakati mwingine TID ametoa new video ya wimbo ambao aliwahi ku-tease kwenye video yake iliyopita. Hii video ina dakika 4 na sekunde 26 unaweza kuzitumia kuangalia kitu kipya kutoka kwa TID src Ayo TZ
0 comments:
Post a Comment