

Hili lilikuwa swali ambalo naamini limekuwa sugu katika nyumba zetu kila kukicha kwa kina baba kupungua uwezo wa kufunga magoli ya mapema na akiishalipata huvua jezi na kujilaza nje ya uwanja.
Hii imekuwa ikiwaumiza sana kina mama sawa na kipa aliyefanya mazoezi ya kuzuia mashuti makali lakini baada ya mpira kuanza mshambuliaji akupigie shuti kama mate ya mlevi, inaudhi kwa kweli, mbaayaaaa eeeh.
Kibaya zaidi anatoka nje ya uwanja na kukuacha ukiteseka na kukimbilia kujikanda na maji ya moto kila siku mwisho kutaota sugu na kuua virutubisho na kuondoa ladha.
Japo si mtaalamu sana wa mambo hayo lakini kuna kitu nilikutana nacho ambacho kilinipa somo na kuona kuna umuhimu wa kuwaeleza akina baba wengine nao wajaribu kutumia njia hii.
Wapo niliowaelekeza na kukubaliana na nilichowafundisha, mmh naona mimacho imekutoka na kusubiri ujue ni mbinu gani za kukufanya angalau ulie machozi mawili na kumfurahisha mpenzio.
Siku moja nilikutana na mwanaume mmoja ambaye ukimuangalia utajua hana kasoro yoyote basi kama kawaida tukaingia kwenye shamba lake la minazi.
Mwanamke nikaanza kuukwea huku nikitatalika kama bisi jikoni, kijana wa watu Mungu alimjalia sura, nguvu na uwezo wa kuuyumbisha mnazi wake kimadaha na kufanya nihisi raha ya ajabu.
Nami raha ziligonga kila kona na kuzidi kuukwea kwa kasi kama komba mzoefu wa minazi nikikitafuta kilele.
Lakini kabla sijafikia madafu ili ninywe maji yake, alilitoa dafu lake na kuyamwaga maji yake pembeni ambayo nami nilikuwa na kiu nayo pia ndiyo yaliyonifanya niupande mnazi wake kwa kasi. Nilishangazwa sana na kitendo hicho na kubaki nikijiuliza alikuwa na maana gani?
Baada ya muda alinipandisha tena juu ya mnazi wake, kwa vile mzuka ulikuwa haujashuka moto ulianzia uliposimamia, Nilijikuta nikifika mwisho wa mnazi yaani kilele huku mpenzi wangu naye akininywesha madafu yaliyokuwa matamu kupita kiasi. Baada ya kupata mbili za mkwezi nilimuuliza kulikoni kufanya vile?
Alinieleza kuwa kutokana na ugumu wa shughuli zake zimemfanya apungue uwezo wa kuangusha madafu mengi, kama dafu la kwanza angelipasulia ndani asingeweza kunifurahisha kwa vile mnazi usingeweza kusimama tena.
Alisema maji mengi hayapiki ugali, ukipunguza maji lazima ugali utaiva lakini ukipika hivyohivyo lazima ukoroge uji.
src
GPL
0 comments:
Post a Comment